Wednesday, December 9, 2015

GIROUD APIGA HAT TRICK ARSENAL IKIPASUA HATUA YA MTOANO

Ulikuwa ni usiku wa Arsenal baada ya kupata ushindi mnono wa magoli matatu kupitia kwa mchezaji wao jezi namba 12 Olivier Giroud akifunga katika dk 29,49 na 67.Kwa maana Arsenal wameweza kupata nafasi ya 16 bora kwa klabu bingwa Ulaya.Inaweza onekana ni ilikuwa kazi rahisi kwa matokeo hayo la hasha Arsenal wamepigana kupata ushindi huo.


Giroud shujaa.

0 comments:

Post a Comment