Wednesday, December 2, 2015

GARY NEVILLE ALAMBA DILI VALENCIA


Katika hali ya kushangaza klabu ya Valencia imemteua Gary Neville kuwa kocha mkuu wa mpaka mwisho wa msimu.Hii imemfanya kuungana na ndugu yake Philip Neville ambaye alikuwa hapo kipndi cha nyuma kabla ya kocha mkuu wake kuondoka.


Gary Neville is Valencia manager with Phil Neville as his assistant

Garly na Phillip Neville.

0 comments:

Post a Comment