Thursday, December 3, 2015

SERIKALI YASITISHA KUPANDA KWA ADA SHULE ZA BINAFSI

Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa tamko kuhusiana na ongezeko la ada linalofanywa na shule binafsi kila mwaka.Hivyo Katibu Mkuu wa Wizara hiyo ameomba wamiliki wasitishe ongezeko hilo mpaka serikali itakapo toa ada elekezi kwa shule hizo

Wananchi ambao wana watoto katika shule hizi wamekuwa wanalalamikia ongezeko na ada kubwa zinazotozwa na shule hizo kwa kipindi kirefu.Neema inawezwa kutangazwa na kuweza kuwapa wazazi wengi fursa ya kuwasomesha watoto wao katika shule bora.

Tokeo la picha la tusiime school

0 comments:

Post a Comment