Man city jana usiku ilishindwa kupata pointi tatu kutoka kwa Leicester baada ya kutoka sululu.Matokeo hayo yamekuwa faraja kubwa kwa Arsenal ambayo inaendelea kushika usukani wa Ligi hiyo.
Mtifuano kati ya wachezaji wa man city na leicester
Mtifuano kati ya wachezaji wa man city na leicester
0 comments:
Post a Comment