Thursday, December 3, 2015

TIGER WOODS AWAELEZA WATOTO WAKE UKWELI KUHUSU KUCHEPUKA KWAKE

Tiger Woods opens up about his infidelities and his love for his children

Tiger Woods ameanza kuongolea maisha yake ya nje na ndani michezo ,yapata miaka sita sasa baada ya Wood kutengana na mke(Elin) wake ambaye alizaa naye watoto wawili(Sam 8 na Charlie 6).Woods akisikitika na kuwaeleza watoto wake kuwa kwa nini hawakai pamoja ni kwa sababu BABA ALIFANYA MAKOSA .Woods amekuwa akipambana na majeruhi ya mgogo kwa muda mrefu sasa ambayo yanaweza kukatisha kwa haraka kuendelea kucheza golf huku mwenyewe akikiri hapendi hilo litokee haraka hivyo. 

0 comments:

Post a Comment