Monday, December 28, 2015

ARSENAL YAKWEA KILELENI LIGU KUU UINGEREZA ,OZIL MOTO NI ULE ULE

Timu ya Asernal baada ya kupokea kipigo kitakatifu kutoka kwa Southphotn imejirekerebisha na kupata point ya ziada kuwapiku Leicester.Leicester wanacheza na Manchester City leo mchezo muhimu kwa timu a zote mbili.

Magoli ya Arsenal yamefungwa na Gabriel 27' na Ozil 63',Wenger ameendelea kumsifia mchezaji wake Mesut Ozil kwa kiwango anacho kionyesha msimu huu.Ozil amekuwa mtu muhimu kwa kila goli la Arsenal msimu huu.

Arsenal celebrate scoring

Gabriel akishangilia goli lake nyuma ya Ozil na Walcott

Mesut Ozil

0 comments:

Post a Comment