Tuesday, December 1, 2015

ARSENAL MAJANGA KUELEKEA CHRISMASI

Huku Ligi ikiwa inaelekea kipindi kitamu washika bunduki wameendelea kupata wakati mgumu kwa baadhi ya wachezaji wao tegemezi kupata majerui ambayo yatawakosesha kucheza mechi muhimu hasa kipindi hiki cha kuelekea Chrismasi.

Baada ya mechi ya jumapali Asernal itawakosa Alexis na Carzola baada ya kupata maumivi.Huku Wellbeck,Coquelin,Walcott,Rosicky,Wilshere,Arteta 

Tokeo la picha la arsenal players


Tokeo la picha la arsenal players

Carzola

Tokeo la picha la arsenal players

Alexis

0 comments:

Post a Comment