Serikali kupitia Wizara ya Elimu na Ufundi Stadi imetoa maelekezo kuhusu utozaji wa ada katika shule binafsi.Katibu Mkuu Prof Mchome ameeeleza kuwa hakuna shule binafsi itakayoruhusiwa kuongeza ada kuanzia mwaka 2016 huku ada elekezi kwa kutwa ziwe 150,000 na 380,000 kwa bweni.
Tamko hilo limekuwa MWIBA mkali kwa shule nyingi za binafsi ambazo zimekuwa zikitoza ada kubwa na kuuacha watanzania wakilalamika kwa muda mrefu.Sasa kikao kimebadilika wamiliki wamekuwa juu kuhusu kushusha gharama hizi.Jambo la kujiuliza kuna unalala wa shule hizi kutoka ada hizo kubwa kwa takwimu viwango vimekuwa vikubwa mpaka baadhi ya shule zikitoza kiasi cha milioni 3 kwa mwaka ni kiwango kikubwa mno.Kupunguzwa huku ni faraja kubwa kwa wazazi ila kwa upside wa pili ni pogo.Hivyo serikali inapaswa kutengeneza uwiano kwa panda zote ili kila moja anufaike na kuondoa manukuniko.Naamin
NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI
-
Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda
mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa
Chama Cha...
51 minutes ago
0 comments:
Post a Comment