Wednesday, December 2, 2015

KATIBU MKUU KIONGOZI ATOA AGIZO TENA KWA WATUMISHI WA UMMA KUVAA BEJI ZENYE MAJINA YAO WAWAPO MAENEO YA KAZI

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sifue  amesisitiza uvaaji wa beji kwa watumishi wa umma wawapo maeneo ya kazi hii ni kutekeleza agizo lililotolewa kama wiki moja iliyopita.Watumishi wote waliagizwa kuvaa beji hizo kama utambulisho hasa wanapo toa huduma ili waweze kutambulika na kama kuna tatizo ili iwe rahisi wananchi kutoa taarifa mara moja.



Balozi Ombeni sifue akionyesha beji yenye jina lake kama hatua ya kutekeleza agizo hilo.

0 comments:

Post a Comment