Wednesday, December 2, 2015

TAHADHARI WILAYA YA ILALA

Manispaa ya ILALA imetoa amri leo kuwa ili kuweza kuweka wilaya hiyo katika hali ya usafi.Kuanzia leo 2-Desemba-2015 mtu yoyote akikamatwa anatupa taka ovyo,atatozwa faini ya elfu 50,000/= na atakaye kukamata anapewa 50% ambayo ni shs25,000/=.

Tokeo la picha la uchafu dar es salaam barabarani

Takataka zikiwa zimetupwa barabarani.

0 comments:

Post a Comment