Monday, December 14, 2015

CHELSEA KWA UNUKA TENA MOURIHNO ASEMA ANAHUJUMIWA ,LEICESTER YAPAA KILELENI

Diego Costa squares up to Jamie Vardy

Diego Costa akijibishana Vardy

Jana usiku Chelsea ilipata kipigo cha 9 kwenye ligi kuu nchini Uingereza,alikuwa mfungaji mahiri Vardy dk 34 alianza kuleta msiba na baadaye Mahrez dk 48.Na Loic Remy kufunga bao dk 77 la kufuta machozi kwa matokeo hayo Chelsea imeshuka mpaka nafasi 16 huku Leicester ikipaa mpaka nafasi ya 1

Mourihno kwa mara kwanza aliwashutumu wachezaji wake kuwa wanamsaliti na hawajitoi kikamilifu katika kutafuta ushindi na kujitoa katika kumaliza 4 bora msimu huu,"kwani magoli waliyofungwa hayastahili kabisa kwani nimefanya nao kazi kwa siku nne kabla ya mechi hii najua wataawambia ni waungwana" alisema Mourihno kwa masikitiko.

Jose Mourinho

Mourihno akisitika wakati wa mechi

Riyad Mahrez and Jamie Vardy

Mahrez na Vardy wakishangilia

0 comments:

Post a Comment