Timu ya Man City imeshindwa kustaimili mikiki ya Stoke City baada ya kufungwa goli Mbeki moja.Tiki unaweza kupoteza uongozi wa log I katiba kipindi hiki ambacho Leicester City ikiwa katika kiwango cha juu.Man City wamebaki na point 29 na kama Arsenal na Leicister watashinda leo basi kuna uwezekano wwakashuka zaidi katika msimamo wa ligi hiyo
WIZARA YA ARDHI YAINGILIA KATI SAKATA LA ENEO LENYE MGOGORO GEITA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa
matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibw...
3 hours ago






0 comments:
Post a Comment