Monday, December 21, 2015

ARSENAL NA MAN CITY JINO KWA JINO LEO SAA TANO USIKU KWA AFRIKA MASHARIKI

Asernal na Manchester City wanakutana leo katika mechi nzito wote wakiwa nadi  kibarua kigumu cha kusaka ubingwa ambao unachagizwa na upinzani mkubwa dhidi ya Leicister ambayo mpaka sasa ina point 38.

Ni mechi ambayo kila timu inahitaji matokeo kwani kupunguza point kwa kinara wa ligi kwa sasa.Mchezo huo utapigwa majira ya saa tano kwa masaa ya Afrika Mashariki.



Tokeo la picha la man city vs asernal images logo

0 comments:

Post a Comment