Wednesday, December 30, 2015

HALI YA KISIASA ZANZIBAR YAANZA KUZUA TAHARUKI TENA

Ni takriban miezi miwili tangu uchaguzi wa Zanzibar kuhairishwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jecha.Yamepita mengi kwa kipindi chote huku mikutano ikifanyika mara kwa mara kutafuta suluhu.Huku kukiwa na tangazo kuwa kuanza kwa maandalizi ya uchaguzi hatua hiyo ambayo imeendelea kupingwa na CUF wakidai haiwezi kufanyika wakati maazungumzo bado yanaendelea.

Kwa matamko haya ya CUF yameendelea kuleta hali ya sintofahamu kwa wananchi wa Zanzibar.Ni wakati mgumu sana inabidi busura za viongozi wetu itumike ili kuweza kumaliza mgogoro huu wa kisiasa Zanzibar

Tokeo la picha la jussa

0 comments:

Post a Comment