Wednesday, December 2, 2015

LIVERPOOL YAISAMBARATISHA SOUTHAMPTON 6-1,BARCELONA NAYO DOZI ZAENDELEA .

Wakitoka nyuma baada ya Southampton kupata gori la kuongoza kupitia kwa Sadio Mane dk 1 Liverpool jana usiku waliishushia kipigo cha goli sita 6-1 na kufanikiwa kusonga hatua nyingine kwenye kombe la Capital One.Wafungaji wa liverpool ni Daniel Sturridge dk 25 na 29,Divock Origi hat-trick dk 45,68 na 86 na Jordan Ibe 73.

Tokeo la picha la daniel sturridge images
Dan Sturridge

Origi.

Huko Hispania Barcelona iliishushia kichapo timu ya Villanovense cha mabao 6-1 katika kombe la Copa del Rey.Dan Alves dk 4 Sandro  21,31,69 na Munir 51 na 76 mashujaa wa Barca.

Tokeo la picha la sandro ramirez

Sandro

0 comments:

Post a Comment