Thursday, October 22, 2015

KASRI LA KIPA WA ASERNAL DAVID OPSINA LAVAMIWA UINGEREZA

Kasri la David Ospina lenye thamani ya 16 million pound lilivamiwa na vibaka huko Uingereza wakati familia yake ikiwa katika usingizi  fofo.Yeye mwenyewe akiwa katika majukumi ya kulitumikia Taifa katika mechi za kufuzu kombe la dunia.Inasemakana vibaka hao walivamia kwa kuvunja na pia walibeba Benz lake thamani 100,000 pound na baadaye lilitelekezwa katika maeneo ya Wembley.Hakuna aliyeumia katika tukio hilo mke wake Jesica Sterling na watoto wake wawili wa miezi nane na miaka mitano.Matukio  kama yamekuwa na mizizi nchini Uingereza kwa vibaka kuvamia watu maarufu nyakati za usiku.

The raid at Ospina's £16million eight-bedroom neo-Georgian house (pictured), which boasts a swimming pool, sauna room, Jacuzzi and cinema, in north London occurred sometime overnight on October 9 and October 10

Colombian-born Ospina, who moved to the Emirates from French outfit Nice last year, lives in a leafy, upmarket north London street with his wife Jesica (pictured above), where homes can cost up to £35million

0 comments:

Post a Comment