Hamna anayeweza amini kwa nini Deo ameondoka mapema.Marehemu Dr Remmy Ongola aliimba akilalama kifo hakina huruma.Ni kweli DEo mauti yamemfika jana baada ya chopa iliyombeba kuanguka katika hifadhi ya Selous.Hakika LUDEWA na Watanzania watakukumbuka daima jembe lao hakika hakuna wa kuzuia kifo.Bwana ametoa bwana ametwaa jina lake lihidimie lala salaam kaka Deo.
RAIS DKT. SAMIA AZINDUA DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO 2050
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizindua Dira ya Taifa ya Maendeleo 2050 katika ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikwe...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment