Thursday, October 22, 2015

TUME YA TAIFA YAWAHAHAKISHIA WATANZANIA VIFAA VYA KUPIGIA KURA VIMEFIKA SEHEMU HUSIKA SALAMA , HATA UKIFANYIKA KESHO ASUBUHI

Tume ya Taifa NEC imejipanga kweli kweli baada ya kuhahakishia kuwa vifaa vyote vitakavyo tumika kupigia kura vimefika salama katika maeneo yote yaliyotengwa kwa zoezi hilo.Ni faraja kwa wale wenye vikatio vyao ni kuvinoa tuu na wafuate maaelekezo wasipoteze haki yao muhimu katika uchaguzi huu uliyobujikwa na kauli mbiu ya mabadilikomsingi watanzania bado wanaaswa kufuata sheria za uchaguzi kama zilivyo elezwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi pamoja na Polisi.Tujiandae vyema tukapige kura zetu katika hali ya amani ili tuweze kupata viongozi wetu kwa amani kabisa.

Tokeo la picha la images of voters in Tanzania

0 comments:

Post a Comment