Monday, November 30, 2015

KOBE BRYANT KAMA MICHAEL JORDAN BAADA YA MSIMU HUU 2015-2015,

Kobe Bryant amefanya uamuzi mgumu baada ya kutangaza kuwa wakati umefika wa kuacha kucheza mchezo wa kikapu kwa misimu ishirini(20) inatosha.Baada miongo miwili ya mafanikio,medali mbili za dhahabu Olimpiki,alichaguliwa mara 17katika all stars mechi,pointi 81 kwa mechi na zaidi ya akishika nafasi ya pili kama mchezaji bora wa NBA tangu ligi ianzishwe huku akifunga zaidi ya pointi 32,000.

Hakika hii inatosha kwa Kobe sasa kuachana na mchezo huu amefanya mengi na amekuwa katika kiwango cha juu kabla ya kuanza kupata majerehe ya mara kwa mara ambayo inaweza kuwa sababu pia ya kufanya maamuzi haya.

Bryant said that after 20 years of wearing the Lakers' purple and gold, he was ready to let the sport go. Here he is pictured in December 2000
Katika ubora wake mwaka 2000

NBA superstar Kobe Bryant has announced he is to retire from basketball at the end of the season
Akiongea juu ya uamuzi wake

Manchester United legend David Beckham posted this message to Bryant following his announcement
Twitt ya David  baada ya uamuzi wa Kobe

0 comments:

Post a Comment