Mashindano ya CECAFA yanayoendelea nchini ETHIOPIA jana yalianza na kushuhudia Zanzibar Heroes wakitunguliwa na Burundi kwa goli moja lilofungwa na Didier Kavumbagu dk 39 yamchezo.Mchezo huo ni wa Group B
Zanzibar Heroes
Leo ni zamu ya ndugu zao ambao watapepetana na Somalia katika mchezo wa Group A.
King Kibade kocha wa Kilimajaro Stars
Madini ya Bati fursa zipo nyingi njooni – Mkopi
-
· Hutumika kwenye mifumo ya kielektroniki ya simu, ndege, vyuma vya reli
· Yaleta ukombozi kwa wananchi Kyerwa
KAGERA
MADINI ya Bati (Tin) yameendel...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment