Monday, November 9, 2015

WAYNE ROONEY AHAMIA KWENYE MIELEKA YA" WWW"

Barrett has had a previous Twitter spat with Rooney

Barret akimshutumu Rooney


Wayne Rooney alionekana akiapanda ulingoni huko Manchester katika pambano ya miyeleka,baada ya Barret kumtolea lugha ambayo sio nzuri kwa kumwambia alijurusha ili apate penati katika kombe la FA kuhususiana na timu yake.Wayne Rooney alijibu pigo kwa mpiga kibao Barret.Katika usiku huo Rooney alikuwapo na washikaji wake Ryan Giggs,D Flecher pamoja na mtoto wake Kai.



Wayne Rooney lands a theatrical slap on Wade Barrett after being called out by the wrestler at WWE RAW in ManchesterRooney akimpiga kibao Barret

0 comments:

Post a Comment