Wakilishi wa Tanzania Bara Kili Stars itashuka uwanjani leo saa kumi tayari kwa mechi yake ya pili dhidi ya Amavubi timu ya Taifa ya Rwandwa.Ikikumbukwa Kili Stars katika mechi yake ya kwanza iliifunga Somalia 4-0.Ni matumaini ya Watanzania timu itaendeleza ubabe kwa Amavubi leo pia.
Wakati Zanzibar Heroes walioanza vibaya leo nao wanakibarua kingine cha kusaka pointi ili waweze kusonga hatua ya pili watakapo kutana na timu ngumu ya Uganda.
Kapteni Zanzibar heroes(Nadir Cannavaro)
Huu Mchezo Unakulipa kwa Njia 81| 81 Vegas Magic Kasino
-
UNAIJUA Kasino? Kuna mchezo unaitwa Super Heli na Aviator inafanya poa
sana, lakini nikwambie tu Meridianbet Kasino ya Mtandaoni kuna sloti moja
inatema ...
2 hours ago
0 comments:
Post a Comment