Muigizaji nguli Eddie Murphy(54) anategemea kupata mtoto wa tisa katika maisha yake na mpenzi wake Paige Butcher(36).Mtoto huyo anatarajiwa mwezi wa tano mwaka 2016.Eddie Murphy ana watoto wengine nane kutoka kwa wanawake wanne tofauti akiwemo muimbaji wa zamani wa kundi la Spice girls Mel B.Anasema kwake sio shida bado wako vizuri na watoto wote hao ambayo wanakutana katika kipindi cha mapumziko katika jumba lake hivyo wako vizuri.
NCHIMBI AKIPOKEA BARAKA ZA MAMA YAKE MZAZI
-
Mama mzazi wa Balozi Dkt Emmanuel John Nchimbi akimpa baraka mwanaye muda
mfupi kabla ya mgombea huyo mwenza kwenda kuungana na mgombea urais wa
Chama Cha...
56 minutes ago
0 comments:
Post a Comment