Monday, November 16, 2015

TAIFA STARS YAWASILI ALGERIA KWA MCHEZO WA MARUDIANO

Timu ya Taifa ya Tanzania imewasili nchini Algeria salama salimini kutupa karaka yake ya mwisho ili iweze kuingia katika makundi washindi watapata tiketi ya kwenda Russia kwenye kombe la  Dunia.Mechi inatarajiwa kupigwa hapo kesho dua za watanzania ni kuona timu yao inashinda mechi hiyo ili iweze kusonga mbele.


Wachezaji wa Taifa walipowasili Bilda,Algeria 

0 comments:

Post a Comment