Wednesday, November 11, 2015

SAMATTA HUYOOO UFARANSA

Mchezaji aliyeweza kuiletea historia mpya Tanzania Mbwana Samatta hatimaye ndoto yake ya kukupiga ulaya inaweza kukaribia muda si mrefu baaada ya kuonyesha nia ya kutoichezea tena TP MAZEMBE na kuamishia maisha yake ya soka ulaya.Tetesi zinasema Katumbi sasa yupo radhi kumuuza Ulaya sasa ni hatua kwani mmiliki huyo amekuwa na tabia ya kugoma kuuza nyota wake nje.Na inasemekana anaweza kuuzwa kwa timu ya LILLE ya Ufaransa.

Tokeo la picha la IMAGES OF SAMATA

Ndani ya uzi wa simba kipindi hicho.

Tokeo la picha la SAMATA IMAGES WITH MAZEMBESamatta wa Mazembe huyo

0 comments:

Post a Comment