Sunday, November 29, 2015

MICHO AIPA UJIKO KILI STARS KAMA TIMU BORA,JE ITAIFUNGA ETHIOPIA KUINGIA NUSU FAINALI

Huku wakiwa na mechi ngumu kocha wa Uganda Micho amesema Kili Stars ndio Timu Bora kwa kiwango ilicho kionjesha katika hatua ya makundi kwa kufija robo fainali bila ya kufungwa.

Leo wanashuka dimbani kupambana na wenyeji Ethiopia ambao wameingia kama best losers.Itambulike Ethiopia wana timu nzuru hivyo Kili Stars haina budi kutupa raha wa Tanzania ili waweze kupata matokeo na kusonga mbele.

KILA LA KHERI KILI STARS.

Tokeo la picha la KILI STARS IMAGES

Maguli mshambuliaji wa Kili Stars

0 comments:

Post a Comment