Wednesday, November 11, 2015

TFF YATAJA VINGILIO TAIFA STARS NA ALGERIA ,TIMU KURUDI LEO

Tokeo la picha la images of taifa stars

Taifa Stars inatarajia kurudi leo kutoka South Africa walipoweka kambi ili kujiwinda na mechi yao na Algeria itakayopigwa kwenye dimba la Uwanja wa Taifa siku ya Jumamosi tarehe 14-11-2015.Huku Samatta na Ulimwengu watakuja kwenye kambi Dar-es-salaam moja kwa moja wakitokea Kongo.

Wakati huohuo TFF imetaja viingilio katika mechi hiyo;

5,000 ni viti vya Bluu,Kijani,Machungwa

10,000 ni kwa VIP B na C

Tiketi zitaanza kuuzwa siku ya ijumaaa katika vituo vitakavyo elekezwa na TFF.

0 comments:

Post a Comment