Wednesday, November 11, 2015

VITA YAHAMIA KWENYE USPIKA WA BUNGE

Makada wa CCM wamehamishia vita ya uongozi katika kutafuta nafasi ya kuliongoza Bunge baadhi ya makada waliojitokeza ni 


1.Samwel Sitta,

Tokeo la picha la emmanuel nchimbi


2.Emmanuel Nchimbi,


3.Prof Costa Mahalu,

Tokeo la picha la job ndugai

4.Job Ndugai 

na inasemekana bado wengi wanatarijia kuweka nia katika kuwania kiti hicho.

0 comments:

Post a Comment