Wednesday, November 4, 2015

KESHO NI SIKU YA MAPUMZIKO TANZANIA


Eneo litakalotumika katika kumuapishwa Raisi wa Tano

Raisi wa Jamuhuri wa Muungano wa Tanzania mweshimiwa Dkt Jakaya Mrisho Kikwete ametanga kesho itakuwa siku ya mapumziko ili  kuwapa wananchi fursa ya kuhudhuria sherehe ya kuapishwa Raisi wa Tano Ndugu John Pombe Magufuli.Hivyo kesho ni siku ramsi ya mapumziko katika taifa. 

0 comments:

Post a Comment