Wednesday, November 4, 2015

MAUAJI BAYERN MUNCHEN 5 ASERNAL 1

Ulikuwa usiku mwingine kwa Aserne Wenger akishuhudia timu yake ikilala kwa bao 5-1 dhidi ya Bayern Munich katika mashindano ya klabu  bingwa Ulaya.Hali imezidi kuwa tete na uwezekano wa kuingia 16 bora umekuwa mgumu msimu kwa Asernal.Magoli ya Bayen Munich yalifungwa na R.Lewandowski dk 10,Thomas Muller dk 29,89,David Alaba 44 na Arjen Robben 55 huku O Giroud akifunga bao pekee la dk 69.


Arsenal

0 comments:

Post a Comment