Thursday, November 12, 2015

CONVOCATION WIKI YA CHUO CHA BIASHARA(CBE) YAENDELEA

Kuelekea kwenye mahafali siku ya jumamosi Chuo Cha Biashara(CBE) kimekuwa katika wiki ya makongamano mbali mbali ili kuelezea ummma nini kinafanya.Mara nyingi huu umekuwa ni utaratibu wa vyuo vingi kuufanya kabla ya kuhitimishwa na siku ya maahafali ambapo wahitimu katika idara tofauti tofauti wanatunikiwa vyeti kuhitimisha kumalizika kwa ngazi fulani ya kitaaluma mfano Shahada au Stashada n.k.Hivyo ndani ya wiki hiyo kunakuwa na uwakilishwaji wa maandiko mbali mbali,kukutana na wanafunzi walio maaliza (alumni),maonyesho na pia ni wiki ambayo wale wanafunzi waliofanya vizuri wanatunikiwa zawadi.

Chuo cha biashara kitafanya mahafali yake siku ya Jumamosi 14-11-2015 pale Diamond Jubilee Hall.

Tokeo la picha la images of chuo cha biashara logo


0 comments:

Post a Comment