Thursday, November 12, 2015

MVUA KUBWA YASITISHA MECHI KATI YA ARGERTINA NA BRAZILI

Argentina vs Brazil World Cup qualifier suspended after heavy rain in Buenos Aires 

Mechi ya mahasimu wawili kati ya Brzaili na Argetina imehairishwa baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha sehemu kubwa ya uwanja kujaa maji baadala yake itachezawa leo ijumaa.Mechi hiyo itapigwa kwenye uwanja wa Estadio Monumental Antonio Vespucio Liberti in Buenos Aires.Baadaye wachezaji wa Argentina walionekana wakicheza Basketball.

0 comments:

Post a Comment