Tuesday, November 10, 2015

HATIMAYE RAISI SHEIN NA MAALIM SEIFU WAKUTANA VISIWANI

Katika hatua kuendelea kupata ufumbuzi wa swala za uchaguzi Zanzibar  Raisi Shein na Maalim Seifu wamekutana na kuongea kwa muda katika kupata suluhisho la mgogoro wa uchaguzi uliositishwa visiwani humo  kwa takribani masaa sita.Mkutano huo pia ulihudhuriwa na maraisi wastaafu(Mwinyi na Karume) hakuna kilichotelewa kuhusu mkutano huo tuuombe mambo yaishe salama na tuunaamini ni mazungumzo kwa maslahi ya kuleta muuafaka visiwani humo.

Tokeo la picha la maalim and seif images

0 comments:

Post a Comment