Monday, November 9, 2015

SAMATTA NA ULIMWENGU WAILETEA TANZANIA HESHIMA KATIKA SOKA

Tokeo la picha la images of samatta na ulimwengu

Samatta na Ulimwengu wakifurahia goli jana


Mbwana Samatta na Thomas Ulimwengu jana waliweka historia mpya baada ya kufunga goli na kuipa TP MAZEMBE ubingwa wa Afrika katika kazi ya Vilabu kwa mara ya Tano.Hii ni heshima kubwa kwa Taifa letu kuona wachezaji wakifanya vizuri njee ya mipaka ya Tanzania.Tuuamini wanasoka hawa juhudi zao zimewafikisha hapo tumeona wengi wanaenda na kurudi lakini Samatta na Ulimwengu wamekuwa mfano wa kuigwa kwa wacheza soka wa Tanzania.Hatuna budi kuwapa hongera na kuwatakiwa mafanikio zaidi katika safari yao ndani ya maisha ya soka.

0 comments:

Post a Comment