Thursday, November 12, 2015

SELEMANI MATOLA ASEMA YATOSHA SIMBA

Selemani Matola aliyekuwa kocha msaidizi wa Simba ameamua kuacha kibarua chake.Kwa habari za kusikika Selemani ameacha kazi kutoka na kushindwa kuafikiana katika maamuzi mbali mbali  na kocha wake mkuu Darren Kerr ikiwa ndio sababu kuu.

Kupitia msemaji mkuu wa timu hiyo Manara alikiri kuwa uongzi umepokea barua hiyo na vikao vitafanyika ili kuweza kutoa maamuzi na moja ya vitu alivyogusia ni kuwa Kerr pia aliwahi kusema hawezi kufanya kazi na msaaidizi wako huyo.

Tokeo la picha la images of selemani matola
Kerr na Matola enzi hizo

0 comments:

Post a Comment