Monday, November 16, 2015

TAIFA STARS KUFANYA MAAJABU LEO ALGERIA?


Timu ya Taifa Stars baada ya kutoka sare isiyotarajiwa siku ya 
Jumamosi leo inarudi tena uwanjani kupambana na Algeria katika mechi ya mwisho ambapo mshindi atapata tiketi ya kuingia kwenye makundi kujiwinda na kombe la Dunia litakalofanyika Russia 2018.Tueendelee kuwa na imani ingawa ni ngumu sana kufanya maajabu katika ardhi ya Waarabu ila katika soka la sasa historia sio kitu muhimu dakika tisini ndio msema kweli.

Tokeo la picha la images of taifa starsTaifa stars fanyeni kweli 

0 comments:

Post a Comment