Monday, November 16, 2015

BUNGE LA KUMI NA MOJA KUANZA LEO,NANI KUWA SPIKA NDUGAI AU MEDEYE?

Bunge la kumi na moja (11) linatarajia kuanza vikao vyake leo mjini Dodoma.Kukiwa na changamoto nyingi ambazo wananchi wanatarajia kuona utekelezaji wa ahadi za wawakilishi wao wakati wa kampeni

Wakati huo Chama cha Mapinduzi kimempitisha Job Ndugai kuwa mgombea wa Uspika huku Ukawa imemteua Ole Medee kuwania kiti hicho.Kwa tathimini fupi uwezekano wa Job Ngugai kuwa Spika wa Bunge la kumi na moja ni mkubwa kutokana na CCM kuwa na wabunge wengi kwa 74%.Lakini lolote laweza tokea kwani wagombea wote wanasifa staiki za kuwa viongozi wa kiti hicho.


Tokeo la picha la ole medeye images
Job Ndugai -CCM



Tokeo la picha la ole medeye images

Goodluck ole Medeye-UKAWA


0 comments:

Post a Comment