
Kobe Bryant amefanya uamuzi mgumu baada ya kutangaza kuwa wakati umefika wa kuacha kucheza mchezo wa kikapu kwa misimu ishirini(20) inatosha.Baada miongo miwili ya mafanikio,medali mbili za dhahabu Olimpiki,alichaguliwa mara 17katika all stars mechi,pointi 81 kwa mechi na zaidi ya akishika nafasi ya pili kama mchezaji bora wa NBA tangu ligi ianzishwe huku akifunga zaidi ya pointi 32,000.
Hakika hii inatosha kwa Kobe sasa kuachana na mchezo huu...