Stress free!! Mke wa zamani wa Rapa mwenye vituko Wiz Khalifa ameweka shida chini na maisha sasa yanasonga Amber Rose ameoneka katika mitaa ya Hollywood,Carifornia katika club maarufu ya usiku ya Luxury Night Club Playhouse na kundi la marafiki zake wakati wa kusherekea sherehe yake ya kutimiza miaka 32.Mwanamitindo huo ambaye kwa siku za karibu pia ameingia katika bifu na familia ya Kim Kardashian huku wakipigana vijembe kuhusiana na maisha yao kabla ya kuwa maarufu.

NA MARAFIKI

AKIINGIA CLUB

AKITOKA BAADA YA KUPART
0 comments:
Post a Comment