Wednesday, October 28, 2015

MATUKIO MBALI MBALI UCHAGUZI MKUU 2015 TANZANIA

Huku Tume ya Taifa ya uchaguzi ikiendelea kutangaza matokeo kwa kiti cha Uraisi.Mambo mbali mbali yamekuwa yakijiri 


 Waangalizi
Mkuu wa waangalizi wa muungano wa Ulaya katika uchaguzi mkuu wa Tanzania Judith Sargentini, amesema ukosefu wa jitihada pamoja na uwazi ndio sababu ya tume za uchaguzi za NEC na ZEC kukosa imani za vyama vyote vya kisiasa.
Amesema kwamba licha ya maandalizi mazuri kutoka tume hizo za uchaguzi, kutokuwepo kwa uwazi na ukosefu wa habari muhimu kuhusu sajili ya kupiga kura pamoja na mipaka katika majimbo mbali na mbinu inayotumiwa kutangaza matokeo ndio sababu zilizoathiri imani ya vyama hivyo kwa tume hizo za uchaguzi.

Vijana waliokamatwa wakikusanya matokeo ya uraisi wafikishwa mahakamani Kisutu leo


Hapa wakiongea na Mheshimiwa Mboye ndani ya mahakama ya Kisutu.



PWANI: Jeshi la polisi mkoani Pwani linawashikilia vijana 22 wilayani Rufiji kwa tuhuma za kufanya fujo na kufunga barabara



0 comments:

Post a Comment