Jurgen Klopp amejitia kitanzi ndani ya liverpool na kuwaahidi mashabiki kuanza kuamini zaidi kuliko kuwa na wasiwasi huku akifunga zaidi ya pound 6 milioni kwa msimu.Huku akitamka kuwa amepata kazi nzuri yenye changamoto katika ulimwengu wa soka.
JAB kusimamia pia Mfuko wa Mafunzo kwa Waandishi-Wakili Kipangula
-
Na Mwandishi wetu, JAB.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari, Wakili
Patrick Kipangula amesema mbali na kutekeleza majukumu...
7 hours ago
0 comments:
Post a Comment