Monday, October 26, 2015

MAALIM SEIF ATOA MATOKEO YA URAISI ZANZIBAR


Tokeo la picha la images of maalim seif shariff hamad


Mgombea wa Uraisi wa Zanzibar Maalim Seif jana aliitisha mkutano na waandishi wa habari na kutoa matokeo ya Uraisi wa Zanzibar.Hii ni kinyume na taratibu ambazo ziko chini ya Tume ya Uchaguzi ya Zanzibar ambayo ndio inamamlaka ya kutoa matokeo ya Uraisi.Hali hii ilisababisha taaharuki na kufanya vyombo vya Ulinzi kuchukua hatua kama kufunga baadhi ya BaraBara.Mpaka sasa Tume bado haijajotoa matokeo ya Uraisi huko Zanzibar 
huku Maalim Seif akisema matokeo hayo ni yale ambayo wameyakusanya kupitia vituo vyote na ni halali.

0 comments:

Post a Comment