Thursday, October 22, 2015

KUELEKEA UCHAGUZI PATA IDADI YA WATANZANIA WATAKAO PIGA KURA

Idadi ya wapiga kura kwenye uchaguzi wa 25-10-2015 inakadiriwa kufikia 22,750,789 kwa mikoa yote ya JAMUHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA.Huku idadi ya wapiga  kwa ulinganifu wa kijinsia inaonekana wanawake(11,950,200) wakiwa wengi kuliko wanaume(10,800,589) kwa idadi yao kwa Tanzania yote.Na jedwali hapo jinsi ni mgawanyo kwa miaka.Kwa wale waatalaamu wa mahesabu inaweza kuwasaidia kadiri matokeo yatakapokuwa  yanatolewa wakilinganisha na idadi ya wapiga tuombe wengi wajitokeze kufanikisha uchaguzi mkuu wa kihistiroa wenye upinzani mkubwa kupata kutokea.Amkeni mkapige kura kwa Amani,Mungu Ibariki Tanzania.

0 comments:

Post a Comment