Wednesday, October 21, 2015

KWELI UMRI NI NAMBA TUU KRIS JENNER(MAMA WA KIM KARDASHIAN) AFA KIMAPENZI KWA MTOTO WAKE

Baada ya aliyekuwa mume wake kubadili jinsia Mama wa Kim Kardashian ameamua kutafuta mpenzi na penzi lake amelitoa kwa kijana wa miaka 34 huku yake akiwa na miaka 59 kweli mapenzi ni upofu na umri ni namba tuu.Kris amekuwa akila raha na mpenzi wake huyo katika miji mbali mbali ikiwemo Paris na ndani ya Marekani.Kwetu Tanzania ni nadra sada mwanaume kuoa mwanamke au kuwa na mpenzi  aliyemzidi umri utakuwa kuwa gumzo ingawa siku za karibu yanatokea mfano kama Shilole na Nuhu Mziwanda.

He looks out for her: The 59-year-old was spotted on Tuesday enjoying some retail therapy in the company of her younger boyfriend Corey Gamble, 34


Party time! Kris Jenner and boyfriend Corey Gamble were two of the first to arrive to celebrate Kim Kardashian's milestone birthday in Los Angeles on Wednesday

0 comments:

Post a Comment