Thursday, October 22, 2015

MAANDALIZI YA TAIFA STARS KUELEKEA MECHI NA ALGERIA


Tokeo la picha la IMAGES OF TAIFA STARS



Kamati ya maadalizi ya kuiboresha Taifa Stars kuelekea mechi zote za kimataifa hasa ile ya Algeria yanaaendelea kama kawa huku ikitangazwa kuwa kambi inaweza kuwa Oman,Sauzi na Dubai.TedDy Mapunda ametoa taarifa hiyo jana.

Tuipe suppoti ya nguvu timu yetu ili iweze kufanikiwa katika michezo yote ya kimataifa ijayo.TFF yenyewe bila ya wadau haiwezi ni TIMU YETU NI TAIFA LETU PAMOJA TUNAWEZA.

Tokeo la picha la IMAGES OF TAIFA STARS

Tokeo la picha la IMAGES OF TAIFA STARS

0 comments:

Post a Comment