Wednesday, October 21, 2015

YANGA HAPA KAZI TU YAIBURUTA TOTO,SIMBA MBIO ZA UBIGWA ZAFIFIA MBEYA

Ikiwa katika Uwanja wa Taifa Yanga imeweza kuendeleza wimbi la ushindi kwa kuwaburuza Toto 4-1 licha ya Donald Ngoma kukosa penati katika kipindi cha kwanza ,wafungaji wa magoli ni Juma Abdul 1 ,Saimon Msuva 2 na Amisi Tambwe 1.Mahasimu wao wameendelea kupoteza muelekeo wa ubingwa baada ya kukubali kipigo cha 1-0 kutoka kwa Prison.

Tokeo la picha la vodacom premier league logo

0 comments:

Post a Comment