NACTE imesogeza muda wa kudahili wanafunzi wanao jiandaa kujiunga na vyuo vikuu ili kuwapa muda zaidi wanafunzi ili waweze kushiriki katika uchaguzi wa 25-10-2015.Hivyo imetoa wito kwa vyuo vyote ambavyo vipo chini yake vifungwe kwa wiki mbili kuwapa wanafunzi muda wa kujiandaa kupiga kura.Sasa wanafunzi wataendelea kujisajili kupitia mfumo wa CAS mpaka 16-10-2015 na vyuo kufunguliwa Novemba haya yameelezwa leo na Kaimu Katibu Mtendaji NACTE Bw. Adolf Rutaiyuga
Job Ndugai afariki Dunia Leo Agosti 6, 2025
-
*Na Mwandishi Wetu, Dodoma.*
*Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa
Kongwa, Job Yustino Ndugai, amefariki dunia leo Ag...
13 hours ago
0 comments:
Post a Comment