Tuesday, October 27, 2015

JAJI LUBUVA AKEMEA WANAOSEMA TUME INATOA MATOKEO KWA UPENDELEO

Tokeo la picha la images of lubuva


Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa Taifa Jaji Lubuva amekea tabia baadhi ya wanasiasa na wananchi wanaojaribu kupinga kile tume inacho tangaza kwa kusema matokeo ya Uraisi yanatolewa kadri wanavyoyapata kutoka kwa wakurugenzi wa mikoa hivyo waache fikra hivyo hizo kwani tume inatoa matokeo kwa uhuru na haki.Hivyo waamini tume na wataendelea kutoa matokeo kadri yatakavyokuwa yanawakilishwa kutoka vituoni.Mpaka sasa jumla ya majimbo takribani 85 yameshawasilisha matokeo ya Uraisi.

0 comments:

Post a Comment