Ndio hivyo tena katika hali ambayo kila mtanzania anaweza jiuliza nini kimetokea kuanzia leo asubuhi itakuwa imebakia historia baada ya kuondokewa na mpendwa na mwanaharakati kazi yake mola haina makosa.Mungu ailaze roho ya Mchungaji Christopher Mtikila mkusa
WIZARA YA ARDHI YAINGILIA KATI SAKATA LA ENEO LENYE MGOGORO GEITA
-
Na Munir Shemweta, WANMM
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeingilia kati mgogoro wa
matumizi ya ardhi unaomhusisha mwekezaji Rashid Kwanzibw...
3 hours ago






0 comments:
Post a Comment