Sunday, October 25, 2015

HII NDIO THAMANI YA MECHI KATI YA MAN UNITED NA MAN CITY


Mahasimu wawili wanaotoka katika jiji moja la Manchester leo wanakutana katika mechi ya kukata na shoka.Je wajua vikosi vyote jumla yake ni PAUNDI MILIONI 545 ni mabilioni mengi kwa hela  za madafu.Ni mechi ngumu kwa pande zote kwani timu zote zikiwa katika 'TOP FOUR' kwenye msimamo wa ligi kuu ya Uingereza huku kama Man City ikishinda itakuwa na alama 24 mbili mbele ya Asernal wanaongoza ligi huku Man United watafikisha alama 22 ila watashindana kwa idadi ya magoli na Asernal.Hivyo ni mechi ngumu inayohitaji matokeo kwa kila upande itapigwa katika dimba la OLD TRAFFORD.


United vs City is the £545m game: Player price tags prove Manchester is football's super

Antony Martial na Kevin De Brujne wamesajiliwa kwa bei ya juu msimu huu.

Manchester United manager Louis van GaalManuel Pellegrini shouts from the bench

Van Gaal (Man United -Kocha) na Manuel Pellegrin(Man City-Kocha) nani kuibuka mbabe leo hii.

0 comments:

Post a Comment